Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
AmenMungu Ibariki CHADEMA.
Kwa muitikio huu majizi ya ccm hawatakubali katiba kwa Amani hata iweje. Ccm wanashindwa kuelewa nini kinaendelea, miaka ya nyuma walifanikiwa kuvimaliza vyama vyote vya upinzani kwa hila wanazoifanyia cdm sasa, cha ajabu kwa sasa imeshindikana dhidi ya cdm. Hiki chama kimekuwa na nguvu ya ajabu.Wamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu
Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo
Zaidi vielelezo hivi hapa
View attachment 3683751View attachment 3683752View attachment 3683753View attachment 3683754View attachment 3683755View attachment 3683756
Mungu Ibariki Chadema
HakikaKwa muitikio huu majizi ya ccm hawatakubali katiba kwa Amani hata iweje. Ccm wanashindwa kuelewa nini kinaendelea, miaka ya nyuma walifanikiwa kuvimaliza vyama vyote vya upinzani kwa hila wanazoifanyia cdm sasa, cha ajabu kwa sasa imeshindikana dhidi ya cdm. Hiki chama kimekuwa na nguvu ya ajabu.
Wamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu
Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo
Zaidi vielelezo hivi hapa
View attachment 3683751View attachment 3683752View attachment 3683753View attachment 3683754View attachment 3683755View attachment 3683756
Mungu Ibariki Chadema
Sasa kinachokuliza nini?Mikutano ya kuwaibia Wananchi kupitia tone tone iyo inaendelea
Licha Mwenyekiti kuwa Lupango !!!
Demokrasia ya Chadema Wanaijua wenyewe !!!
😁😁😁😁Mwenyekiti wetu Samia tuanze na Sisi kugawa Tsh 100,000 Kwa kila MTU ili mikutano yetu ijae, haiwezekani CHADEMA watuzidi kiasi hiki
Watu Wana njaa ya hakiWamo viongozi wote wa serikali, wachungaji, viongozi wa dini ambao tunawashukuru kwa kumaliza ibada mapema , madaktari ukiacha Madaktari waliokuwa zamu tu
Hakuna haja ya porojo, tambua tu kwamba watu wote wa serengeti wamehudhuria mkutano huo
Zaidi vielelezo hivi hapa
View attachment 3683751View attachment 3683752View attachment 3683753View attachment 3683754View attachment 3683755View attachment 3683756
Mungu Ibariki Chadema
Ni kweliWatu Wana njaa ya haki
Na wala isikusumbue kabisa wewe. Usisahau kumfikishia ujumbe Samia.Demokrasia ya Chadema Wanaijua wenyewe !!!
NaamNa wala isikusumbue kabisa wewe. Usisahau kumfikishia ujumbe Samia.
Amejitahidi sana kwa kuyaandika hayo maneno, kama unamjuwa sawia alivyo huyo mtu.Sasa kinachokuliza nini?
Ukiendelea kutumia ile dawa uliyopewa hii juzi, matatizo yako yote yatakwisha. Dalili ni nzuri.Mikutano ya kuwaibia Wananchi kupitia tone tone iyo inaendelea
Licha Mwenyekiti kuwa Lupango !!!
Demokrasia ya Chadema Wanaijua wenyewe !!!