Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Pamoja na mashambulizi ya Israel ya kuua viongozi wa Hezbollah, Urusi imesema kuwa Hezbollah haijapoteza uwezo wake wa kupigana na chain of command iko intact.
Hii ni habari mbaya kwa mashabiki wa genociders, ambao walidhani kuua kiongozi fulani hapa na pale ndiyo mwisho wa taasisi. Wamesahau kuwa kuua kiongozi ni rahisi ila kulishinda jeshi zima siyo sawa na kula ugali.
Na ugumu wa kulishinda jeshi kama Hezbollah ni mkubwa zaidi hasa ukizingatia imani ya Kishia ya kufa shahidi kama Imamu Hussein ilivyo kubwa. Kiufupi kwa Hizbollah askari wake kufa shahidi ni ufahari zaidi kuliko kuishi ukiwa mtumwa wa Zayuni. Sasa utamshindaje mtu ambaye yuko tayari kufa?
Hivi sasa Hizbollah imefanikiwa kuzuia Majeshi ya Zayuni kupata mafanikio yoyote ya vita vya ardhini.Zayuni amebaki na silaha moja kubwa tu anayoitumia nayo ni madege anayoyatumia Kigaidi kupiga na kuua wanawake na watoto, lakini hana ubavu wa kupigana ardhini man to man ili kuteka eneo na kulikalia.
Kadhalika Hizbollah imeanza kupiga katikati kabisa kwenye moyo wa Israel. Jana peke yake katandika mji wa Haifa kwa makombola 200, ambayo ni mengi kwa wakati mmoja tangu Hizbollah ianze kupigana na Israel.
Wakati huo, Israel inaonekana haina cha maana cha kijeshi inachoweza kukifanya huko Gaza. HAMAS bado wapo Gado, Wanaendelea kurusha makombora Israel, SInwar kajitokeza na kumuonyesha Zayuni kuwa yuko Gado, Na Matunnel ambayo Israel anasema aliyabomoa huko Gaza, HAMAS wameyatengeneza upya, huku matunnel mengine meeeengi yakiwa bado yanapiga kazi kama kawaida.
Sasa hivi Israel imegeuka na kuwa kama kichaa aliyepewa Rungu na Marekani, ambaye analitumia hilo rungu bila malengo wala fikra. Yeye anabomoabomoa tu kilicho mbele yake. Hata Hivyo amekutana na Iran, nchi inayosifiwa kutumia Chess katika mikakati yake. Tarehe 1 october, Iran iliichapa Israel kisawasawa, sasa hivi viongozi wa Israel wapo busy washington kuombaomba Marekani iwaunge mkono ili iweze kujibu. Iran imeonya, Israel ikirusha hata Jiwe itapambana na mkong'oto mkali ambao haijawahi kukutana nao kabla!.
Wakati huohuo Jana Hezbollah wamerusha video kuonyesha assets za kijeshi za Israel na kwamba Kama Israel ikiendelea na uwendawazimu wake basi watazichapa moja baada ya nyingine. Kitendo hiki kimewaogopesha wazayuni baada ya kuona kuwa Hezbollah bado inauwezo wa kufanya shughuli zake za kijeshi hata kuweza kupeleleza assets muhimu za kijeshi.