Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

As long as origin yako imekuwa defined katika mipaka ya bara la Afrika wewe ni muafrika. Suala la rangi wala sio ishu hata wazungu wapo weusi lakin still ni wazungu. Kwa mtu yeyote ambaye anataka kulipinga hili anijie na uthibitisho kwamba ukiwa mwarabu/mweupe wewe sio mwafrika.
Hakuna mzungu mweusi acha maramoja upotoshaji ila wapo wakazi weusi wanchi zakizungu, yan uwe mweusi at the same time uwe mzungu
 
Sijaelewa ni kwa mantiki ipi sasa maana wakati MO Salah anatoka yeye alikuwa anatabasamu tu je, hiyo utaita hakudhamilia kumuumiza? Halafu nawashangaa hata wanaomtetea Ramos na wakati rafu imefanyika mbele ya Refarii kabisa na hakuchukua reaction yoyote ile na sijui ushabiki mwingine ukoje tu yaani. Mechi ilikuwa kati ya Salah Na Madrid na sio Liverpool na Madrid angalia Ronaldo alivyokuwa anamtizama Salah kama vile kuna kitu wameplan tayari kabla ya gemu kuanza. Get well soon MO SALAH.
 
Ulitaka refa afanyaje wakat hakuna kosa, ule nimuanguko wakawaida nandiomana hakuna alieshout wakat tukio linatokea ila walishtuka kuona ameumia, jiulize kma mo asingeumia unadhan kunamtu angezan pale kunarafu..pia hongera kwakuingia moyon kwa ramos nakusoma hisia zake
 
Mpuuzi sana huyo Ramos atakuwa alitumwa ili waweke historia
 
kweli bigwa ntetezi aliyewatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve na buyern aje kufungwa na muwania top 4 haya maajabu yalikua ezi za musa tyu
Hata Madrid huko kwao hali haikuwa tofauti
 
Barcelona wameumia sana.. Kuliko sisi washabik wa Misri.
 
Kaniudhi sana yaani. Ningelikuwa natizama mechi pale uwanjani ningelimuingulia mulemule punguwani waheed yule.
Acha ujinga...na angelikuwepo pepe lazima angevunjwa kiuno.....Ramos alitimiza wajibu wake vizuri ndio maana Salah alidhibitiwa vilivyo....Hivyo hakuna kosa pale kwani angeliweza kuumia Ramos....
 
Acha ujinga...na angelikuwepo pepe lazima angevunjwa kiuno.....Ramos alitimiza wajibu wake vizuri ndio maana Salah alidhibitiwa vilivyo....Hivyo hakuna kosa pale kwani angeliweza kuumia Ramos....

Mpira ni mapambano/ vita ya ufundi wa kuchezesha miguu na akili, muda na kuangalia makosa ya adui yako yapo wapi. Umeona Ronald alivyodhibitiwa? Hajakwaruzwa wala nini lakini alifichwa. Sergio Ramos sio beki ni jambazi, punguani huyu.
 
Back
Top Bottom