Hakuna mzungu mweusi acha maramoja upotoshaji ila wapo wakazi weusi wanchi zakizungu, yan uwe mweusi at the same time uwe mzunguAs long as origin yako imekuwa defined katika mipaka ya bara la Afrika wewe ni muafrika. Suala la rangi wala sio ishu hata wazungu wapo weusi lakin still ni wazungu. Kwa mtu yeyote ambaye anataka kulipinga hili anijie na uthibitisho kwamba ukiwa mwarabu/mweupe wewe sio mwafrika.
Endelea kuishi kwa kukariri mkuuHakuna mzungu mweusi acha maramoja upotoshaji ila wapo wakazi weusi wanchi zakizungu, yan uwe mweusi at the same time uwe mzungu
Ukielishwa uwe mtulivu usishupaze shingo...elim haina mwishoEndelea kuishi kwa kukariri mkuu
Unayeshupaza shingo ni wewe ambaye bado unaamini uzungu ni kwenye rangi.MAKINIKA kijana usiishi kwa kukariri.Ukielishwa uwe mtulivu usishupaze shingo...elim haina mwisho
Ulitaka refa afanyaje wakat hakuna kosa, ule nimuanguko wakawaida nandiomana hakuna alieshout wakat tukio linatokea ila walishtuka kuona ameumia, jiulize kma mo asingeumia unadhan kunamtu angezan pale kunarafu..pia hongera kwakuingia moyon kwa ramos nakusoma hisia zakeSijaelewa ni kwa mantiki ipi sasa maana wakati MO Salah anatoka yeye alikuwa anatabasamu tu je, hiyo utaita hakudhamilia kumuumiza? Halafu nawashangaa hata wanaomtetea Ramos na wakati rafu imefanyika mbele ya Refarii kabisa na hakuchukua reaction yoyote ile na sijui ushabiki mwingine ukoje tu yaani. Mechi ilikuwa kati ya Salah Na Madrid na sio Liverpool na Madrid angalia Ronaldo alivyokuwa anamtizama Salah kama vile kuna kitu wameplan tayari kabla ya gemu kuanza. Get well soon MO SALAH.
Hata Madrid huko kwao hali haikuwa tofautikweli bigwa ntetezi aliyewatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve na buyern aje kufungwa na muwania top 4 haya maajabu yalikua ezi za musa tyu
Ndio maana huko ccm mnawapiga wapinzani wenu risasiHata mimi nachezaga nafasi ya beki ...kazi yetu ndio kazi ileile aliyoifanya Ramos
Wapinzani gani hao waliopigwa risasi na CCM?Ndio maana huko ccm mnawapiga wapinzani wenu risasi
Bingwa mtetez Uefa na kabeba tena.Hata Madrid huko kwao hali haikuwa tofauti
Thread ipomkuu hujatuletea mrejesho yaliyojiri huko hasa hasa nje ya uwanja na majukwaani!
fungua thread ya kilichojiri mwanzo mwisho
sasa liver kila msimuHata Madrid huko kwao hali haikuwa tofauti
Acha ujinga...na angelikuwepo pepe lazima angevunjwa kiuno.....Ramos alitimiza wajibu wake vizuri ndio maana Salah alidhibitiwa vilivyo....Hivyo hakuna kosa pale kwani angeliweza kuumia Ramos....Kaniudhi sana yaani. Ningelikuwa natizama mechi pale uwanjani ningelimuingulia mulemule punguwani waheed yule.
Acha ujinga...na angelikuwepo pepe lazima angevunjwa kiuno.....Ramos alitimiza wajibu wake vizuri ndio maana Salah alidhibitiwa vilivyo....Hivyo hakuna kosa pale kwani angeliweza kuumia Ramos....