Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Vuguvugu la fainali ya UEFA limeendelea kushika kasi hasa kuhusu suala la kuumia kwa mchezaji wa Liverpool; Mohammed Sarah ambaye baadhi wanadai aliumizwa kwa makusudi ili kuhakikisha Real Madrid inaibuka kidedea.
Huko nchini Misri, mmoja wa wanasheria nguli nchini humo aitwaye Bassem Wahba amesema atafungua mashtaka mahakamani dhidi ya bwana Ramos kwa kile anachodai kuwa katika mchezo huo, Sergio Ramos alimwumiza kwa makusudi Mohammed Salah na kumsababishia maumivu ya kimwili na kisaikolojia yeye (Salah) na watu wa Misri wote.
Mwanashera huyo amesema pamoja na kupeleka malalamiko rasmi FIFA, Sergio Ramos anastahili kuadhibiwa kwa kitendo hicho. Pia aliongeza kuwa mbali na kudai fidia hiyo ya €1bn, kuna uwezekano kiwango hicho kikaongezeka.
Egyptian lawyer files €1billion lawsuit against Sergio Ramos in Champions League final | Daily Mail Online