Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

neymar alivunjwa mgongo kwenye kombe la Dunia watu wakasahau sembuse Salah ambaye hata team yake haifiki popote..!!
 
Kama ndio hivyo akina Yondani wengekuwa wameshafungwa maisha
 
Twende kazi...
Screenshot_20180529-215008.jpg
 
Hao ndio wamisri!

Mimi nimeshangaa zaidi hiyo fidia inayoombwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu jamaa anasema kawaumiza watu wa misri,! wanachama, viongozi na mashabiki wa Liverpool dunia nzima hawajatajwa
Ina maana hujui kwamba Misri inajiandaa na World Cup?
 
Ina maana hujui kwamba Misri inajiandaa na World Cup?
Najua, concern yangu ni kuwa kwenye hii kesi Liverpool wako excluded, fuatilia kama kuna sehemu huyo mwanasheria kasema na wao wameumia kwa namna moja ama nyingine.
 
Back
Top Bottom