Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Huwajui waingereza. Labda aje acheze epl. Otherwise kama unazungumzia kwamba wakutane kwa tim ya taifa nakwambia hakuna litalo tokea.

Kama unadhani waingereza wanauvhungu saaana kuhusu salah.. think again?
 
Waingereza walipania hili kombe liende kwao.
Ramos ana maisha mafupi kwenye mpira
Waingereza hawachukui lolote. Watu wenye uchungu na mtu wao ni egypt. Waingereza wanachojali ni kikombe... suala la salah haliwahusu.
 
€1billion sounds like a lot of money until you realize it is equal to 9.5 Pogbas.

Nimeona hii
 
Hivi kwa uhalifu alofanya ramos hawezi kupelekwa the hague kabisa??!!
Haiwezekani. The Hague wanasimamia kesi kubwa kubwa kama za kivita. Kesi za ramos na salah ni za mahakama ya mwanzo.

Hawawez kupoteza muda kusikiliza kesi kama hiyo.
 
Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa

Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.

Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Ndo soka hilo na hayo mambo hayajaanza leo, watu wanaumiza wenzao makusudi, watu wanarusha mateke ya makusudi kina De jong lakini baada ya soka maisha yanasonga, watu wanaomba penalty makusudi kabisa kina Ashrey Young, watu wanashika mpira makusudi, refer kilichowapata kina Ghana kwa Suarez, watu wanang'ata wenzao makusudi kabisa uwanjani, nafikiri unamjua mng'ataji tena mara tatu, baada ya mechi we all speak football, ndani ya dk 90 ni vita kali, kila mbinu inatumika ila dk 90 zikiisha mnaweka silaha chini na kupeana mikono, hilo ndo soka labda kwa wale wasiojua na kufuatilia soka
 
1521490006706.jpg
 
Hawa Waarabu bado hawajielewag tu yan wanajiona maspesho who are they had wasiumie
 
Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Nimeangalia clips kadhaa zinazomhusu Ramos, kweli jam anacheza rafu mno. na kadi nyekundu kibao sana. Namfananisha na Mtaliano Gennaro Gattuso ama Mwingereza Paul Scholes.
 
sasa unadhani wa misri ni wasenge km ninyi wakubali kuonewa kisenge senge tu
Usenge wao unaujua wewe hapo wanakudanganya wewe jinga unaamini, hapo hakuna kesi huyo aliyebeti kaliwa na Ramos haendi mahakama yoyote. pumbavu
 
Back
Top Bottom