Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

Sergio Ramos ashitakiwa mahakamani kwa kumwumiza kwa makusudi Mohammed Salah; kulipa €1bn.

sasa unadhani wa misri ni wasenge km ninyi wakubali kuonewa kisenge senge tu

Angelikuwa ngozi yetu ingemtachi sana huyu ndugu, but kwakuwa mwarabu watamponda sana na kumuona Ramos ndiye mwenye haki more than salah. Sisi waafrika sijui ni nani katuloga
 
Kwani huyo salah Mungu ? Timu yenyewe Liverpool watulize vijogoo na kujipanga upya mwakani
 
Wengi tu huumia ktk game Hilo Jambo n la kawaida Luke show alishavunjwa miguu lkn waingereza wakachukulia kawaida ndo soccer lilivo hivo
Beckham pia alishavunjwa mguu na Aldo Duscher mika ya nyuma, Waingereza walijua ni mchezo tu. Likewise Eduardo, aliekua anachezea Arsenal alishawahi kuvunjwa kifundo cha mguu (ankle) na kiligeuka kabisa, wala hakukuwa na malalamiko. Ni mchezo tu.
 
Pamoja mkuu, mchezo wa mpira wa miguu s legelege Kuna kuumizana na pia Kuna kuumia mwenyew
 
Angelikuwa ngozi yetu ingemtachi sana huyu ndugu, but kwakuwa mwarabu watamponda sana na kumuona Ramos ndiye mwenye haki more than salah. Sisi waafrika sijui ni nani katuloga
Usisingizie ngozi kwani yeye ndo wa kwanza kuumia katika mpira? Acheni ushabiki maandazi kisa ulibet umeliwa unajitia kutetea ujinga.
 
Uingereza watahakikisha Ramos hafiki mbali.
Kwa fitna, Uingereza nawakubali
Tatizo lenu wana majogoo mlieñda uwanjani na matokeo mfukoni!

Ramos ameshamaliza Kila kitu, hakuna kombe asilokuwa nalo, huko unakosema wewe kuwa watahakikisha hafiki mbali ni wapi??
 
Ukiangalia vizuri nakwamakini Ramos alidhamilia kabisa

Alishift landing area nakujirushia kwenye eneo ambalo naturally asingeangukia kama angeendelea kudondoka kihalisia walivokuwa wakianguka.

Kushift landing point makusudi ndio root cause ya ushenzi uliotokea.
Na yy huyo Salah wenu kwanini alikuwa anagombea mpira na Ramos?? Si angemwachaa tu Ramos aucheze huo mpira??

Kujitia ujuaji na ubavu kumbe hata nguvu hakana??

Siku nyingi mwambieeni akimuona Ramos augue malaria asikubali kabsa kucheza na Ramos atauawa akijilegeza ohoooo!
 
Back
Top Bottom