Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sijalazimisha mtu aamini. Ila mimi najua hakuna matata kaitoa kwenye series au film za Lion the king. Pale Tim na Pumbaa wanavyoimba Hakuna matata.
Pale Tim na Pumbaa aah [emoji23][emoji23][emoji23] nikisikia hayo majina nafurahi kwa kweli kunavipande navutiwa navyosana ukiplus na upuuzi wa hao watu 2 ndio nafurahi zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kula tano bro.
Ubaya huwa haelewi huyu mama
 
sawa asante
 
Pale Tim na Pumbaa aah [emoji23][emoji23][emoji23] nikisikia hayo majina nafurahi kwa kweli kunavipande navutiwa navyosana ukiplus na upuuzi wa hao watu 2 ndio nafurahi zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu Yaani.
 
Hivi hao wazaramo,wandegereko n.k lugha yao ya makabila ndo hichi kiswahili sanifu tunachozungumza?
 
Mtoa mada,maana anashangaa 'hakuna matata' kuandikwa na mzungu wakati ni maneno ambayo wanayatumia miaka na miaka.Tatizo lako ni utoto tu...
Heading yangu imesema nashangaa hakuna matata
 
Hawashangai kwakuwa walitutwala wakatujengea mazingira ya kudharau vya kwetu kama unavyodharau wewe.
Tunashangaa ee kwakuwa nimoja ya hatua ya wao kuanza kuvisamini vyakwetu walivyotukalilisha kuwa ni ushamba kama unavyoamini wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…