Unafeli sana mzee!
Mother tongue yangu,ambayo ni lugha yangu ya kwanza ni Kichagga walichozungumza ancestors wangu kwa zaidi ya miaka 800.
Nikaja nikajua Kiswahili kwa kusoma kuanzia darasani kwa miaka saba then nikaja kujifunza Kiingereza kuanzia darasa la 8 kwenda mbele.
Mother tongue yangu sio Kiswahili,ni lugha yangu ya pili,na ya tatu ni Kiingereza!
Kiswahili kua Lingua Franca ya pahali sio kweli eti ndio "lugha ya kwanza" ya watu wa eneo husika.
Na hapa nielewe vizuri,"Lugha ya Kwanza=Mother Tongue" huenda hata hujui definition yake,ina maana ni lugha ya kwanza mtoto anayojifunza au kuongea baada ya kuzaliwa tu anayo adopt kutoka kwa wazazi wake au jamii yake ya karibu hapo hapo.