Wapenzi wa soka la Italia tutakosa kutazama soka mpaka mwezi wa nne baada ya Waziri Mkuu wa Italy kuisimamisha ligi kutokana na ugonjwa wa Corona. Itakumbukwa kuwa italy ni moja kati ya nchi ambazo ugonjwa huu unaenea kwa kasi sana. Hatujui kuhusu mechi za UEFA.