Serial Killer

Serial Killer

Inawezekana wapo na ili kujua kama vifo vinatokana na serial killers kunakuwaga na pattern fulani ambayo dota zikiwa joined zinaashiria ni mtu mmoja ambae ametekeleza vifo hivyo.

Pattern inaweza ikawa age group flani lets say 18-21, profession fulani mfano strippers ama hoes, ama race flani mfano blacks. Pia pattern inaweza ikawa similarity katika namna mauaji yanavyotekelezwa. Mfano kuwachinja in a certain way, kuwafunga kamba, kuwachanja mwilini, etc.

Sijui kama tuna uwezo wa kufanya inveztigation thorough mpaka kufikia ku pinpoint kama certain murders were serial killings.
 
Very True, i believe uwezo wanao but chances are they are overworked/manpower ni ndogo hence crucial information is overlooked as it can be anywhere else in the world where there cracks in the system.
 
Mmmaa!!! Sasa kwanini waitwe jina hilo? Na kwann wanaua watu kama wapo kweli?
Ndo maana anaitwa serial killer kwa sababu anaua bila sababu kwake ni kama fantasy akikuua ndio anajisikia amani, na ndio maana ni kazi kuwakamata kwa sababu huwa hapangi kuua ila anachagua victims wake random
 
Back
Top Bottom