Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo uwe serious, hivi hiyo sex education ni kitu ya kuchekesha kabisaaa?Kua serious kidogo
The Office ni namba moja
Alafu kuna Silicon Valley , Dave, Sex Education, Ted Lasso n.k..
Kwanini office Ni namba Wani??naipenda lakini personally Ile slow humor yake haijafikia pace ya how I met your mother
Spinoff lakini imemzidi predecessor wakeHow I met your mother ni spin off ya friends ...hata set up ni the same
Jambo na vijamboBinadamu tunatofautiana sense of humour meaning kitu kinaweza kuwa funny Kwa mtu mmoja kikawa cha kawaida kwa mwingine.
Lakini mawazo yawengi huwa mara nyingi yanakaribia ukweli.
Kwangu Mimi best comedy series ni:
1. How I met your mother
2. The Simpsons
3. Big time rush
4. Scrubs
5. Big bang theory
6. American dad
7. Chapelle's show
8. Monty python
9. Mr bean series
10. The office
Honorable mentions:
Rick and Morty
Seinfeld
SNL
Everybody loves Raymond
It's always sunny in Philadelphia
PS: Hizo honorable mentions ni zile nimeangalia episode zisizozidi 3