Series inayomuandaa Makonda kuwa Waziri Mkuu kabla ya uchaguzi

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika

Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda

sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri

Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
 
Mbona hilo haliwezekani kabisa?
 
Ila nyie funza bado mna hangover ya msiba wa kamongo mkuu aka KAYAFA jiwe!!
 
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika

Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda

sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri

Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Tungetumia hizi akili kwenye maendeleo tungefika mbali. Sisi tunawaza vyeo tu.
 
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika

Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda

sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri

Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Kwani dr mpango amekufa
 
Je

Je, kwa kufanya hivyo ndio nchi itakuwa imeondokana na matatizo yaliyopo?
 
Unaota

Akili mbovu kabisa. Hata hujui katiba ya nchi unasema nini?

Huwezi kuwa waziri mkuu bila ya kuwa mbunge wa kuchaguliwa jimboni. Huyo Makonda wenu ni mbunge wa Jimbo gani?
 
Back
Top Bottom