Series inayomuandaa Makonda kuwa Waziri Mkuu kabla ya uchaguzi

Series inayomuandaa Makonda kuwa Waziri Mkuu kabla ya uchaguzi

Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika

Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
Hata Ndugulile akichaguliwa, kipindi kilichobakia kabla ya kuvunjwa Bunge ni less than 12 monthis, hakuna uchaguzi wowote mdogo, hata mbunge yeyote akifa leo, ndio imetoka!.
Achani hizi theories za kiendawazimu!.
Rais Samia asivunje baraza la mawaziri wakati ilipompasa kuvunja, kwanini aje avunje leo?, acheni hizo!.
P
 
Back
Top Bottom