Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mbona hilo haliwezekani kabisa?Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Ila nyie funza bado mna hangover ya msiba wa kamongo mkuu aka KAYAFA jiwe!!Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Tungetumia hizi akili kwenye maendeleo tungefika mbali. Sisi tunawaza vyeo tu.Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Kwani dr mpango amekufaSahihi Kabisa 🐼
Mgombea mwenza 2025 ni Dr Nchimbi
Kwani dr mpango amekufaNdugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Usikute wameshampa sumu ya kumuua tartib wanajua hadi wakati huo hatakuwepo. CCM kuna ushetani mwingi sana.Kwani dr mpango amekufa
Je, kwa kufanya hivyo ndio nchi itakuwa imeondokana na matatizo yaliyopo?Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Akili mbovu kabisa. Hata hujui katiba ya nchi unasema nini?Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Majaliwa kuwa mgombea mwenza 2025 huku waziri mkuu akiwa ameshajulikana
Amekuambia anaenda kugombea kigamboni ,baada ya ndugulile kuchaguliwa kua mkurugenzi WHO ukanda wa africaAkili mbovu kabisa. Hata hujui katiba ya nchi unasema nini?
Huwezi kuwa waziri mkuu bila ya kuwa mbunge wa kuchaguliwa jimboni. Huyo Makonda wenu ni mbunge wa Jimbo gani?
soma uelewe wewe mwanafunzi kilazaAkili mbovu kabisa. Hata hujui katiba ya nchi unasema nini?