Hata Ndugulile akichaguliwa, kipindi kilichobakia kabla ya kuvunjwa Bunge ni less than 12 monthis, hakuna uchaguzi wowote mdogo, hata mbunge yeyote akifa leo, ndio imetoka!.
Achani hizi theories za kiendawazimu!.
Rais Samia asivunje baraza la mawaziri wakati ilipompasa kuvunja, kwanini aje avunje leo?, acheni hizo!.
P