Tangazo, simu yangu imepata hitilafu kidogo. Power button imeharibika.
Na kwa bahati mbaya iliisha chaji. Hivyo bado umezima mpaka kesho ntakapoonana na fundi.
Tutasimamisha matangazi katika channel kwa mpaka simu itakapokaa sawa. Huwenda ikachukua siku 2 tu yaani Leo na kesho.
Naomba radhi kwa lolote litakalotokea.