Series: Maisha na Muziki

Series: Maisha na Muziki

Taarifa kwa wapenzi na wafuatiliaji wa series hii.

Kutokana na sabab zilizo nje ya uwezo wetu hatutaweza kuendelea na na season ya 2 hapa badala yake tutaendelea katika channel yetu mpya ya whatsapp inayoitwa Maisha na muziki.

Siku yeyote na na muda wowote tutapeana update pamoja na link jinsi ya kujiunga.

Asanteni.
 
Season 2 imeanza rasmi, fuata link ya whatsApp hapo juu kujiunga.
 
Tangazo, simu yangu imepata hitilafu kidogo. Power button imeharibika.

Na kwa bahati mbaya iliisha chaji. Hivyo bado umezima mpaka kesho ntakapoonana na fundi.

Tutasimamisha matangazi katika channel kwa mpaka simu itakapokaa sawa. Huwenda ikachukua siku 2 tu yaani Leo na kesho.

Naomba radhi kwa lolote litakalotokea.
 
Back
Top Bottom