Series: Maisha na Muziki

Series: Maisha na Muziki

Tujiandae kwa season ya 3.
Nawakumbusha tu.
Season 1 inaitwa Asha.
Season 2 inaitwa Propaganda.
Season 3 itaitwaje?
Usiondoke..
 
Season 3 haitapatikana hapa. Itapatikana kwenye channel yetu ile ile ya whatsApp.
 
Kesho tunazindua msimu mpya. Season ya 3 itakua na mambo mengi yatakua ni mapya.
 
Mapema tu asubuhi ntakutana na wajumbe kujadili kuhusu shirika letu la BMC.
 
Kesho cm naitengeneza. Hivyo channel yetu ya wasap na insta vitakua hewan
 
Marekebisho.
Nimesema kesho ntakutana na wajumbe wa bodi na sijamaanisha Kikao cha watu wote. Ieleweke vizuri. Kikao bado hakijaitishwa.
 
Account yang ya insta password nimesahau ila ntairudisha siku si nyingi
 
Nimemalizana na wajumbe wa bodi. Kikao cha watu wote hakitaitishwa mpaka tufikie maridhiano.
 
Kesho kutakua na kikao na wakubwa na keshokutwa ntakua na kikao na wadogo
 
Vikao vyote vimehairishwa. Maridhiano bado hayajafikiwa.
 
Nasisitiza tena, ngoma zote zinazomhusu baby wangu mtazikuta kwenye uzi wa me & you. Hizi takataka zingine ndo mtazikuta huku.
 
Hiyo video ya dushelele, imechezwa barazan kwao kabisaa. Nakumbuka alinipa stori kabla hata video haijatoka
 
Leo jion kutakua na kikao cha wakubwa na wadogo zao
 
Nnachotaka kusema, hapa nilipo kuna uwezekano mkubwa wa kutokea tukio siku za usoni. Probability ni asilimia 60. Wameitisha kikao chao batili mimi hawakunihusisha. Kwa maneno hawa watumishi hawataki kufanya kaz na mimi na mpaka sasa wapo kwenye mgomo.
 
Shida ni kwamba mimi nipo nje ya huo mtandao kwa hiyo wanaamua wao haf wanasingizia mimi nimeshiriki.
 
Mimi sipo humo mpaka hivi sasa. Napata habari kutoka external source.
 
Kwa hiyo nashauri kila kitu kisimame. Na kuna shambulizi lipo njian kutokea
 
Back
Top Bottom