Series (Special thread)

Series (Special thread)

He is carering sana, kitu ambacho hutupumbaza wanawake, na itakuwa alimpiga dyudyu classic akadata.
duuh..Tasha atakuwa kiboko..zile rough ride za ghost azikumdatisha kweli..ila shawn ni weak sidhani kama angeweza kumhandle Tasha
 
Wangeweza tu kublend bwana, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, huoni walishaanza kuwa into each other?
 
Tasha alikua na Shawn just coz ghost cheated on her...
Nadhani unajua vyema nyie wanawake mkikasirika unakuta hata shamba boy anapewa ubweche😁😁😁😁
 
Tasha akili ya kwazi yule..am nt sure if she was so into him..hope she wanted someone to back her up baada ya kuona ghost haeleweki..zen T anaonekana anapenda maisha makubwa..shawn angempwelepweta
 
Hahahaaaa!! Alikuwa anaitafuta faraja ambayo shawn alikuwa nayo maana ghost stress tu, ila tasha ni strong jamani hadi kumshauri mumewe eti "keep fucking that bi-tch till....." mie huo moyo sina, ningejiondokea ndukiii to start afresh.
 
Sometym hata hayo maisha makubwa unakuwa huyahitaji tena, you just need a peace of mind.
 
umeona kazi hiyo..yani someone is sexing your husband na unaona sawa,just to kip bizness going?..ndo mana nikasema Tasha anapenda maisha makubwa..thats why even wen ghost wanted to stay clean na kuachana na drugs Tasha alikuwa hamsapoti..

teh teh..peace of mind ya kumruhusu mme wako achepuke?
 
Pamoja na hivyo hufikia hatua hata hayo maisha makubwa huyataki tena, unahitaji furaha tu, sidhani hata kama alikuwa anampenda ghost kihivyo, she was just after his money, ila ndio yalimtokea puani akaona bora asepe akaishi mbali hata kama hana pesa.
 
Wakati nangojea Season 6 ya The Walking Dead, AMC wanaanzisha Series ingine inaitwa FEAR THE WALKING DEAD, Inaanza kuruka in the next 3 days. Nimeona kipande kidogo wameachia, ni shiiiidaaa
 
Attachments

  • 1440107996381.jpg
    1440107996381.jpg
    90 KB · Views: 214
Wakati nangojea Season 6 ya The Walking Dead, AMC wanaanzisha Series ingine inaitwa FEAR THE WALKING DEAD, Inaanza kuruka in the next 3 days. Nimeona kipande kidogo wameachia, ni shiiiidaaa

Hiyo Itakuwa hatari maana hiyo Walking dead yenyewe niliangalia mpaka season 5 episode 4 tu nikaona ni Shida na aiishi
Nikaona maudhui yake yamekaa kibabe na ya kutisha
 
Duh mkuu mi hata walking dead ilinishinda hakuna new series zilizotoka this summer zenye maudhui ka tyrant, the 100 au hunted
 
Empire
Daredevil
Secret and lies
The last man on earth
Eye candy
The lizzie bordenchronicles
Sense 8
American crime
iZombie
If loving you is wrong.

* HIZI ZOTE NI TAMU BALAA HASA HASA
 
Back
Top Bottom