duuh..Tasha atakuwa kiboko..zile rough ride za ghost azikumdatisha kweli..ila shawn ni weak sidhani kama angeweza kumhandle TashaHe is carering sana, kitu ambacho hutupumbaza wanawake, na itakuwa alimpiga dyudyu classic akadata.
duuh..Tasha atakuwa kiboko..zile rough ride za ghost azikumdatisha kweli..ila shawn ni weak sidhani kama angeweza kumhandle Tasha
Wangeweza tu kublend bwana, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, huoni walishaanza kuwa into each other?
mkuu utube umejaribu kucheki?Wakuu natafuta Soundtracks za Power, ikiwezekana Kuanzia Season 1 mpaka 2, nimetafuta kwenye torrents hazipo.
Tasha alikua na Shawn just coz ghost cheated on her...
Nadhani unajua vyema nyie wanawake mkikasirika unakuta hata shamba boy anapewa ubweche😁😁😁😁
Tasha akili ya kwazi yule..am nt sure if she was so into him..hope she wanted someone to back her up baada ya kuona ghost haeleweki..zen T anaonekana anapenda maisha makubwa..shawn angempwelepweta
umeona kazi hiyo..yani someone is sexing your husband na unaona sawa,just to kip bizness going?..ndo mana nikasema Tasha anapenda maisha makubwa..thats why even wen ghost wanted to stay clean na kuachana na drugs Tasha alikuwa hamsapoti..Hahahaaaa!! Alikuwa anaitafuta faraja ambayo shawn alikuwa nayo maana ghost stress tu, ila tasha ni strong jamani hadi kumshauri mumewe eti "keep fucking that bi-tch till....." mie huo moyo sina, ningejiondokea ndukiii to start afresh.
teh teh..peace of mind ya kumruhusu mme wako achepuke?Sometym hata hayo maisha makubwa unakuwa huyahitaji tena, you just need a peace of mind.
umeona kazi hiyo..yani someone is sexing your husband na unaona sawa,just to kip bizness going?..ndo mana nikasema Tasha anapenda maisha makubwa..thats why even wen ghost wanted to stay clean na kuachana na drugs Tasha alikuwa hamsapoti..
teh teh..peace of mind ya kumruhusu mme wako achepuke?
Bora hata Tommy alipata zake demu wanaeendana nae, ye drug dealer, na demu mwizi..
Bora hata Tommy alipata zake demu wanaeendana nae, ye drug dealer, na demu mwizi..
Kwakweli ile ni chupa na mfuniko.
ukipata mnaeendana vile aahh safi sana.
Wakati nangojea Season 6 ya The Walking Dead, AMC wanaanzisha Series ingine inaitwa FEAR THE WALKING DEAD, Inaanza kuruka in the next 3 days. Nimeona kipande kidogo wameachia, ni shiiiidaaa
Hiyo Itakuwa hatari maana hiyo Walking dead yenyewe niliangalia mpaka season 5 episode 4 tu nikaona ni Shida na aiishi
Nikaona maudhui yake yamekaa kibabe na ya kutisha
Duh mkuu mi hata walking dead ilinishinda hakuna new series zilizotoka this summer zenye maudhui ka tyrant, the 100 au hunted
Duh mkuu mi hata walking dead ilinishinda hakuna new series zilizotoka this summer zenye maudhui ka tyrant, the 100 au hunted