fredosteve
Member
- Jul 11, 2015
- 50
- 34
Minority Report ya kipumbavu tu...
Nilitegemea itashahabia uzuri kama ilivyokuwa movie ile Minority Report ya Tom Cruise...
ndo imeanza wakuu, tegemea makubwa mbeleni.. ila haka ka tabia ka kugeuza movie kuwa series kameanza kushika kasiYeah ni kweli kaka minority report ya series ipo kitoto sana tofaut na muvie yenyewe
Anaejua new series ya ma zombie anaomba aniambie tofauti na z nation
Watu8 hzo za vampire ni zipi tofaut na vampire diars
Anaejua new series ya ma zombie anaomba aniambie tofauti na z nation
criss, crow, nikita