Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wale wa Homelan season 05 e01 ipo mtaani kapakue imetoka this time wapo CIA Berlin Kelly mtoto wake yupo chekechea!
 
Wale wanaopenda series za crime kuna series imetoka inaitwa Blindspot INA two episode n nzuri mnoo pia nyngne inaitwa Quantico nayo n nzuri sana.

Zake ni zile kila episode kitu kipya au mwendelezo wa story mwanzo nwisho?
 
Wakuu mm ni mpenzi wa series kama hizi REVOLUTION, LEGEND OF THE SEEKER, VIKINGS....
Yaani zile za Porini Porini. Then zenye action.. Kama kuna yeyote anayejua series za style hiyoo anitajie ni download...

Tafuta olympus ni series nzuri sana. Dizain ya legend of the seeker
 
Wale wanaopenda series za crime kuna series imetoka inaitwa Blindspot INA two episode n nzuri mnoo pia nyngne inaitwa Quantico nayo n nzuri sana.

Inaikaribia 24???? Maana daaaah 24 mm ishaniroga kabisa...juzi nimemaliza kurudia season 9 kwa Mara ya tano
 
Kweli tena, yaani anavyomsumbua mwanae

Ninachokiona mimi pale ni kwamba yeye anamsaidia tu. Tatzo la yule mzee huwaga ana angalia maslahi yake zaidi kuliko watu wengine.
 
ImageUploadedByJamiiForums1444299016.357090.jpg

Hii kitu ni Mpya kabisa kwenye Box lake. Iko na 45 TV Series bomba zinazotamba. 60% ni Detective Series.

Bei yake ni Tsh: 250,000/- tu.

Call:whatsapp: 0715-240140
 
Back
Top Bottom