Series (Special thread)

Series (Special thread)

Inaikaribia 24???? Maana daaaah 24 mm ishaniroga kabisa...juzi nimemaliza kurudia season 9 kwa Mara ya tano

Dah we jamaa unanifurahisha mana upo kundi moja na mie kuhusu kurudia 24 kadri nkijiskia...ila hizo blindspot na Quantico ni kali na theme ya kiintelejensia hujui kinachotokea mbele...so jaribu hizo
 
Haiwezi kuwa sawa na 24 hata kidogo Mkuu

Sema blindspot iko vizuri sana nimeangalia pilot yake imetulia sana naifananisha na ile series ya Hostages

Watengenezaji wake wametulia hata storyline na theme yake ila naona kama uko mbele watachemka maana nilitegemea kuwa na maswali mengi ila katika hiyo episode moja tu umeshapata majibu yote
 
Yaaani nakuahidi nitazitafta hizi koz wewe mpnzi wa 24 kama mm umesema....
24 ishaharibu ubongo wangu.
 
Haiwezi kuwa sawa na 24 hata kidogo Mkuu

Sema blindspot iko vizuri sana nimeangalia pilot yake imetulia sana naifananisha na ile series ya Hostages

Watengenezaji wake wametulia hata storyline na theme yake ila naona kama uko mbele watachemka maana nilitegemea kuwa na maswali mengi ila katika hiyo episode moja tu umeshapata majibu yote

hata mimi naamini hivyo
 
best of the best kwa upande wangu(finished)

1.24
2.breaking bad
3.nikkita
4.lost
5.prison break
6.revenge
 
Jamaan nimesubiri THE LAST SHIP sioni kitu, waliishia Season ya 2 Episode ya 12
Watatoa muendelezo wa episode zingine lini?
:what::what:
 
Back
Top Bottom