Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
THE LAST KINGDOM umeiangalia ?Hakuna changamoto kubwa kama pale umemaliza kuangalia series kali, unapata mtihani wa kuchagua series nyingine kali.
Wakuu nishauri series kali ya kuangalia bila kujali ni ya bunduki au mapanga.
Hiyo niliyoweka picha ni link hapo juu umeshaiona?Aisee hiyo Shogun nilipoachia ni kwa uweza wa bwana nimeachana nayo. Presumed innocent bonge moja la series nasuburia new Season.
Oooh okay hebu ngoja niishushe. Thanks. Haina makulano hii naweza kuangalia na watoto mkuu...?Hapana iliendelea hadi season 3
Haina matusi hii mkuu...?Aliyetoa recommendation ya huu mzigo nampa maua yakeπ₯π₯ nimeimaliza leoView attachment 3189571
Usitazame na watoto haifaiOooh okay hebu ngoja niishushe. Thanks. Haina makulano hii naweza kuangalia na watoto mkuu...?
Oooh okay nashkuru mkuu. ππΎUsitazame na watoto haifai
Ni nzuri sana hiyo ukicheki EP Moja utaipenda sana enjoy ndugu yanguHapana Mkuu hii sijaingalia. Kumbuka nimetoka kumaliza SQUID GAME, hii ni nzuri? Nisije nikachanganya betri na gunzi.
Nguna zingine nimeweka hapo umeziona hizo?Hapana Mkuu hii sijaingalia. Kumbuka nimetoka kumaliza SQUID GAME, hii ni nzuri? Nisije nikachanganya betri na gunzi.
Tazama hiyo ya chini ni nzuri sanaStrike back mbona kama ni series ya zamani, sikuimalizaga.
Kama uliipenda pressumed innocent na hiyo utaipenda nduguSawa Nimepokea ushauri wako. Nitakupa mrejesho.
Gentoman nae baadae yalimkuta πView attachment 3189936
Dah!πππ
Alikufa vibaya sana jamaa πππGentoman nae baadae yalimkuta π
Hiyo Strike Back ni single au Season...?Zitafute mtu wangu kama unapenda ukachero spy Cc Carleen Mr Q
View attachment 3189934View attachment 3189935
Ni seriesHiyo Strike Back ni single au Season...?
Jamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456πView attachment 3189936
Dah!πππ
Pale alikuwa kwenye maagizo na kisheria mkicheza mchezo hutakiwi Ku feli pale ilikuwa lazima ajitoe roho tuJamaa alikufa kishujaa sana nilidhani angemtwanga risasi player 456π
NZuri sana ila hakikisha unaangalia HD Quality nzuriNasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139