Series (Special thread)

2025, the year of:

β€’ GTA 6
β€’ Avatar 3
β€’ Andor S2
β€’ Superman
β€’ Zootopia 2
β€’ Fantastic Four
β€’ Ghost of Yōtei
β€’ Wednesday S2
β€’ Squid Game S3
β€’ The Last of Us S2
β€’ Wicked: For Good
β€’ A Minecraft Movie
β€’ Death Stranding 2
β€’ Stranger Things S5
β€’ Daredevil: Born Again
 
Hivi, niliskia watu kuwa Apocalypto 2 imetoka ni kweli mkuu...?
 
Kuna wadau wanasema squid game s2 wamezingua.. Wewe kwa upande wako unaionaje.?
Sio kuna wanao sema. Hata mimi ni mmoja wao. Season 1 ilikuwa bomba sana zaidi ya hii ya pili. Nani moyo wale haukwenda mbio kwenye ule mchezo wa kuruka juu ya vioo?? Kioo kimoja kigumu kingine laini. Sasa hii season2 haluna mchezo ambao umesababisha mapigo ya moyo yaende mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…