yaani sterehe zingine bwana taabu tupu, kwel watu tunatofautiana cjui huwa wanaenjoy nn!!!
Tafuta name NIKITA iko fresh sana km 24 tu
Sawyer nilimkubal sana kwenye season 1 pale ambapo wenzie wanahangaika kutoka nje ya island baada ya ndege kuangua jamaa alikua calm sana alikua karelax ansoma zake novel benjamin linus nae alifanya vizur ila season za mwishon alipoa sana
Mwendelezo wa matukio mi ndo nazipenda zaidihivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.
hivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?
Ray C ndo anazipenda kweli...anakwambia akiwa free hata kula hali anatazama hizo horror movies
hivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.
Wewe upo kama mimi....hamu inaisha kama mgonjwa wa malaria na chakula.
ila kuna series ambazo pale mwanzoni lazima utulie,mpaka umalize season 1 ndo utamu unaanza.
kati ya series nilizopenda ni how i met your mother,nimefurahi mwanzo mwisho,ingawa kuja kujua Barney Stinson ni gay,dah nilianza kuishiwa hamu ya kuangalia nalazimisha tu kumaliza
Wenzetu wanajua sana kutunga so zote tamu....ya muendelezo huwezi jua kitakachokuwa episode ijayo(tofauti na wabongo) mfano tazama 24,au last ship pia za kila episode kitu kipya tazama blacklist pia
Mwendelezo wa matukio mi ndo nazipenda zaidi
Aisee za mwendelezo zinapoboa pale wanapoishia patamu halafu ndo mnaanza kuwasubiri watoe season inayofuata,pia za kuanza na kipya kila episode ina utamu wake,unakuwa unasubiri episode mpya wanakija na nn kipyaZa mwendelezo ndo nzuri to me hata Hawaii five ilinishinda sababu ya hio
Tafuta name NIKITA iko fresh sana km 24 tu
Aisee za mwendelezo zinapoboa pale wanapoishia patamu halafu ndo mnaanza kuwasubiri watoe season inayofuata,pia za kuanza na kipya kila episode ina utamu wake,unakuwa unasubiri episode mpya wanakija na nn kipya
kama revolution jamani mie nilianza kuipenda season2, kidogo niiache maana season1 haikuchangamka