Series (Special thread)

Series (Special thread)

hivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?
 
yaani sterehe zingine bwana taabu tupu, kwel watu tunatofautiana cjui huwa wanaenjoy nn!!!

Ray C ndo anazipenda kweli...anakwambia akiwa free hata kula hali anatazama hizo horror movies
 
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.
 
Sawyer nilimkubal sana kwenye season 1 pale ambapo wenzie wanahangaika kutoka nje ya island baada ya ndege kuangua jamaa alikua calm sana alikua karelax ansoma zake novel benjamin linus nae alifanya vizur ila season za mwishon alipoa sana

Kwenye person of interest Benjamin Linus ameact anaakili sana kama lost hana nguvu lakini akili nyingi
 
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.

Wewe upo kama mimi....hamu inaisha kama mgonjwa wa malaria na chakula.
 
hivi zile series za mwendelezo wa matukio na zile za kila episode kitu kipya ipi inavutia?

Wenzetu wanajua sana kutunga so zote tamu....ya muendelezo huwezi jua kitakachokuwa episode ijayo(tofauti na wabongo) mfano tazama 24,au last ship pia za kila episode kitu kipya tazama blacklist pia
 
Ray C ndo anazipenda kweli...anakwambia akiwa free hata kula hali anatazama hizo horror movies

mie hayo madude hapana kwakweli hata kwa bahati mbaya, horrow cjui horror movies na vampire ni BIG NO kwangu, cant watch
 
hivi wakuu series kama vampire diary mtu unaangaliaje na kutulia wakati unajua ni kitu hakiexist,inaweza ikavutia kwa story ila mi nikishaona kitu ambacho hakipo in real life nakosa hamu.

Binafsi napenda huo ubunifu wa kutengeneza kitu mpaka muda flani MTU unahisi vampires au Dracula ni vitu vipoo....saying that natazama VD season ya 6...na natazama then originals season ya 2
 
Wewe upo kama mimi....hamu inaisha kama mgonjwa wa malaria na chakula.

ila kuna series ambazo pale mwanzoni lazima utulie,mpaka umalize season 1 ndo utamu unaanza.
kati ya series nilizopenda ni how i met your mother,nimefurahi mwanzo mwisho,ingawa kuja kujua Barney Stinson ni gay,dah nilianza kuishiwa hamu ya kuangalia nalazimisha tu kumaliza
 
kama revolution jamani mie nilianza kuipenda season2, kidogo niiache maana season1 haikuchangamka
 
Wenzetu wanajua sana kutunga so zote tamu....ya muendelezo huwezi jua kitakachokuwa episode ijayo(tofauti na wabongo) mfano tazama 24,au last ship pia za kila episode kitu kipya tazama blacklist pia

Mwendelezo wa matukio mi ndo nazipenda zaidi

Za mwendelezo ndo nzuri to me hata Hawaii five ilinishinda sababu ya hio
Aisee za mwendelezo zinapoboa pale wanapoishia patamu halafu ndo mnaanza kuwasubiri watoe season inayofuata,pia za kuanza na kipya kila episode ina utamu wake,unakuwa unasubiri episode mpya wanakija na nn kipya
 
hebu anza kuwatch za zamaniiii.
 
kama revolution jamani mie nilianza kuipenda season2, kidogo niiache maana season1 haikuchangamka

season 1 nilijilazimisha sana,season 2 kuna yule jamaa anavaa miwani halafu kama anatisha flani(kwenye breaking bad wanamwita gustavo)ndo ikaanza kunoga
 
Aisee za mwendelezo zinapoboa pale wanapoishia patamu halafu ndo mnaanza kuwasubiri watoe season inayofuata,pia za kuanza na kipya kila episode ina utamu wake,unakuwa unasubiri episode mpya wanakija na nn kipya

mie napenda zenye muendelezo as unakuwa na taharuki ya kitakachofuata
 
hizi za kila episode story mpya tafuta leverage au burn notes,hehehe kama utalala,mbavu zinachoka unageuza lingine
 
Back
Top Bottom