Hakuna kulana mate na mambo ya kikubwa humo mkuu...?Kama umeangalia The Killer, icheki na The Killer's Game. Imechangamka zaidi.
Ya Jean BaptistaExactly 💯 si ile ya vandamme
Ni sehemu moja tu, ila isikufanye ukose uhondo wa mchezo mzima. Ni mtafutano mwanzo mwisho.Hakuna kulana mate na mambo ya kikubwa humo mkuu...?
Doh itabidi nijue dakika ya ngapi ili ikiwa inakaribia ni-skip tu.Ni sehemu moja tu, ila isikufanye ukose uhondo wa mchezo mzima. Ni mtafutano mwanzo mwisho.
Atakuwa amefarijika kumuona Nairobi kwenye Jackal.Walivyokufa hadi mke wangu alilia 😀😃😃
View attachment 3190463
Ikiwa inakaribia utaijua tu.Doh itabidi nijue dakika ya ngapi ili ikiwa inakaribia ni-skip tu.
Sio Nairobi ni Tokyo ambae kaigiza kama Nuria aka mama carlitoAtakuwa amefarijika kumuona Nairobi kwenye Jackal.
Ongezea na the spySijaona ngoma kama Blacklist, homeland, FBI...hizo kwangu ni Kali Sana.
Hilo chini hapo ndio cover lake mkuu...?Ni sehemu moja tu, ila isikufanye ukose uhondo wa mchezo mzima. Ni mtafutano mwanzo mwisho.
Ndio yenyewe mkuu
Okay ngoja ni-stream kidogo nichungulie.Ndio yenyewe mkuu
Ndio yenyewe
Yes ndio nime mix mafileSio Nairobi ni Tokyo ambae kaigiza kama Nuria aka mama carlito
Kama una madeni sugu achana nayoHivi hii dune the Prophecy ni nzuri nayo.?
Mbele ya watoto haileti picha nzuri mkuu.Huwezi tenganisha maisha na sex ,labda upinde ndio Big NO
Naunga mkono hoja 🤣 😁Kama una madeni sugu achana nayo