Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ni nzuri sana hiyo ukicheki EP Moja utaipenda sana enjoy ndugu yangu
Vincenzo jr napenda sana mchango wako katika jukwaa hili, wewe ni mtu wa kipekee sana na ninapenda upewe maua yako mapema mzee. Napenda sana jinsi unavyo zielezea series kabla ya mtu hajazitizama anakuwa tayari kashapata picha ya yajayo, kiukweli mimi huwa nipo nyuma yako
Yani unachokingalia na mm lazima nikicheki .

Jitaidi kila unapo pata mda unazielezea series japo kwa ufupi fupi hivyo hivyo huku ukitambua ya kuwa tupo nyuma yako wadau kwa wingi sana.

Mm nimpenzi wa movies/series tangu nikiwa charii aisee.
Shukrani broo[emoji120][emoji120]
 
shukrani sana ndugu yangu
 
Screenshot (82).png
Screenshot (81).png

Cc Carleen Mr Q zamoto hizi if cap fits
 
Vincenzo jr napenda sana mchango wako katika jukwaa hili, wewe ni mtu wa kipekee sana na ninapenda upewe maua yako mapema mzee. Napenda sana jinsi unavyo zielezea series kabla ya mtu hajazitizama anakuwa tayari kashapata picha ya yajayo, kiukweli mimi huwa nipo nyuma yako
Yani unachokingalia na mm lazima nikicheki .

Jitaidi kila unapo pata mda unazielezea series japo kwa ufupi fupi hivyo hivyo huku ukitambua ya kuwa tupo nyuma yako wadau kwa wingi sana.

Mm nimpenzi wa movies/series tangu nikiwa charii aisee.
Shukrani broo[emoji120][emoji120]
Jina lake linasomeka hivi kwa kiswahili.
vinchenzo junia 😁😁
 
Series Nzuri Zinazotoka 2025

The Last of Us S02
Andor S02
Alien: Earth S01
It: Welcome to Derry S01
A Knight of the Seven Kingdoms S01
Love, Death & Robots S04
Stranger Things 5
The Wheel of Time S03
The Eternaut Season 1
Newtopia Season 1
The Night Agent S02
Wednesday S02
 
Series Nzuri Zinazotoka 2025

The Last of Us S02
Andor S02
Alien: Earth S01
It: Welcome to Derry S01
A Knight of the Seven Kingdoms S01
Love, Death & Robots S04
Stranger Things 5
The Wheel of Time S03
The Eternaut Season 1
Newtopia Season 1
The Night Agent S02
Wednesday S02
Nazingoja kwa hamu the last of us, stranger things na Wednesday
 
Back
Top Bottom