Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Exactly π― mkuu mademu wa hivi watamu sana πHuyu tumuweke kundi moja na Ava Winters π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly π― mkuu mademu wa hivi watamu sana πHuyu tumuweke kundi moja na Ava Winters π
Duh binadamu tuki tofauti sanaNiliangalia non stop ni balaa.
Mkuu inaonekana umezoea za action tu wewe ππDuh binadamu tuki tofauti sana
Mie nimeabpngalia mpaka s4 but nimeiona ya kawaida sana
Hii snowpiercer series ipo sawa na Ile muvi? Unaipa rate ngapi nataka niianze.Mkuu inaonekana umezoea za action tu wewe ππ
Vincenzo jr napenda sana mchango wako katika jukwaa hili, wewe ni mtu wa kipekee sana na ninapenda upewe maua yako mapema mzee. Napenda sana jinsi unavyo zielezea series kabla ya mtu hajazitizama anakuwa tayari kashapata picha ya yajayo, kiukweli mimi huwa nipo nyuma yakoNi nzuri sana hiyo ukicheki EP Moja utaipenda sana enjoy ndugu yangu
shukrani sana ndugu yanguVincenzo jr napenda sana mchango wako katika jukwaa hili, wewe ni mtu wa kipekee sana na ninapenda upewe maua yako mapema mzee. Napenda sana jinsi unavyo zielezea series kabla ya mtu hajazitizama anakuwa tayari kashapata picha ya yajayo, kiukweli mimi huwa nipo nyuma yako
Yani unachokingalia na mm lazima nikicheki .
Jitaidi kila unapo pata mda unazielezea series japo kwa ufupi fupi hivyo hivyo huku ukitambua ya kuwa tupo nyuma yako wadau kwa wingi sana.
Mm nimpenzi wa movies/series tangu nikiwa charii aisee.
Shukrani broo[emoji120][emoji120]
haipo sawa ni story tofauti naipa rate 7Hii snowpiercer series ipo sawa na Ile muvi? Unaipa rate ngapi nataka niianze.
Haifai kwa familia season 1 na 2 wanalombana live kwenye ile coloni house sasa wewe jichanganye weka mbele ya watotoHawa watoto wenyewe juzi nimekuta wanaangalia Indiana Jones Ina mauchawi uchawi ndani nafkiri wataangalia tu my dear. Thanks a lot mamiii...!
Mkuu kule kwenye coloni house si wanalombana live kule ?FROM haina matusi ni family series sema tu inatisha sidhani kama ni nzuri kwa afya ya akili ya watoto
season 1 π π π π π πMkuu kule kwenye coloni house si wanalombana live kule ?
Better call saulHii inaitwaje?
Jina lake linasomeka hivi kwa kiswahili.Vincenzo jr napenda sana mchango wako katika jukwaa hili, wewe ni mtu wa kipekee sana na ninapenda upewe maua yako mapema mzee. Napenda sana jinsi unavyo zielezea series kabla ya mtu hajazitizama anakuwa tayari kashapata picha ya yajayo, kiukweli mimi huwa nipo nyuma yako
Yani unachokingalia na mm lazima nikicheki .
Jitaidi kila unapo pata mda unazielezea series japo kwa ufupi fupi hivyo hivyo huku ukitambua ya kuwa tupo nyuma yako wadau kwa wingi sana.
Mm nimpenzi wa movies/series tangu nikiwa charii aisee.
Shukrani broo[emoji120][emoji120]
πππππJina lake linasomeka hivi kwa kiswahili.
vinchenzo junia ππ
Nazingoja kwa hamu the last of us, stranger things na WednesdaySeries Nzuri Zinazotoka 2025
The Last of Us S02
Andor S02
Alien: Earth S01
It: Welcome to Derry S01
A Knight of the Seven Kingdoms S01
Love, Death & Robots S04
Stranger Things 5
The Wheel of Time S03
The Eternaut Season 1
Newtopia Season 1
The Night Agent S02
Wednesday S02
Hadi Mimi ndugu yangu π πNazingoja kwa hamu the last of us, stranger things na Wednesday
Bonge moja la mini series π kaka yaani hii ipo kwenye top ten ya series zangu yaan chuma kimeungwa hicho kikaungikaaaNasikia hii nzuri, kuna aliyeicheki wakuu.
View attachment 3190139