Series (Special thread)

Nimeangalia series ya Lockerbie, episodes 5 tu, lakini nikawa interested na kile kilichoelezwa humo kuhusu tukio halisi la ajali ya ndege mwaka 1988... Ajabu kesi yake hadi leo hii bado inaendelea...

Ni hapo May mwaka huu kuna trial nyingine mahakamani... Still watu wanatafuta ukweli zaidi wa nini kilitokea, nani anahusika kuweka kilipuzi ndani ya ndege... Ambacho kilisababisha vifo vya watu 270, ingawaje hiyo huenda ikawa si idadi sahihi ya vifo... Sababu inasemekana siku hiyo ndege haikujaa na wengi wali cancel safari, na wengi wa hao waliocancel safari ni wafanyakazi wa serikali...

Very interesting
 
Hii series mmewai kuitupia macho , inamfanano wa FROM na LOST kisa chake ni wanafunzi waliokua wanasafiri na ndege wanapata ajali katikati ya msitu mkubwa wakiwa huko maisha wanayopitia ni hatari kuna muda chakula kiliisha mpaka ikabidi wale nyama ya mwanafunzi mwenzao ambaye alikua amekufa
 

Attachments

  • FB_IMG_1735983058655.jpg
    124.2 KB · Views: 6
Hii niliicheki nikaishia ep sijui ya 2.
Si ndio wanakulana nyama za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…