Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
πππMkuu nilikua mwenyekiti CHAPUTA Azania pale miaka hiyo kitambo sana, Ila ngoja nifate ushauri wako niachane nayoπ
Haina matusi hii...?silo ipo ep ya 8 bado ep mbili tumalize msimu wa pili
Ahsante sana mkuu kwa ushauri ningeaibika sana.Hii ndio balaa sana yaani humu kufunuana kawaida sana kupeana humu kwenye hii series ni hatari sana haifai kucheki na mtu unae muheshimu
Duh...!Ndio mkuu π π
Shukrani Mkuu.
Mzee wa kazi chafu IgrisShukrani Mkuu.
Ngoja nikashuhudie shughuli ya Mwamba Igris.
Ngoja niipakuwe kwa wifi ya ofisi hapa sijafika home kigamboni bado
Yeah man kitambo hichoDogo kumbe na wewe ni wa Azaboy.
Ni moto hii episodeNgoja niipakuwe kwa wifi ya ofisi hapa sijafika home kigamboni bado
Hii nilichukua muda kidogo kuimaliza. Ni nzuri kidogo japo haikua kama nilivyotarajia.
Hzi title zinanikumbusha mambo ya we were soldiers na band of brothers
Ile series kalii sana Kuna battle of Bastogne mule fujo Kila mdaHzi title zinanikumbusha mambo ya we were soldiers na band of brothers
Band of bros unaipa rate ya ngapi?Ile series kalii sana Kuna battle of Bastogne mule fujo Kila mda
9.2 mkuuBand of bros unaipa rate ya ngapi?
hebu nipeni series kali za madragon kutoka HBO kama game of throne nasikia kuna series inakuja inaitwa "a knight of the seven kingdoms"9.2 mkuu
Cheki house of dragon mkuuhebu nipeni series kali za madragon kutoka HBO kama game of throne nasikia kuna series inakuja inaitwa "a knight of the seven kingdoms"
house of dragon nimeinasa kabla haijatokaCheki house of dragon mkuu