Series (Special thread)

Series (Special thread)

Shadow of bone umeicheki na hizi
Ragnarok
The wheel of time
Marco polo
The letter of the king
Cursed
Shadows hunters
The sandman
hizo zote nime ziangalia kidogo mda sana zilivyo kuwa mpya mpya nikaona hamna content humo nikaziacha we subiri ije hii a knight of the seven kingdoms utaona balaa lake au kaicheki trailer YouTube
 
hizo zote nime ziangalia kidogo mda sana zilivyo kuwa mpya mpya nikaona hamna content humo nikaziacha we subiri ije hii a knight of the seven kingdoms utaona balaa lake au kaicheki trailer YouTube
Ok bosi subiria the night agent tarehe 23
 
Kazi hii fujo sana humu Cc Carleen Mr Q if cap fits

Cowboy 🤠 series hii ni hatari sana
View attachment 3200749
Hii series iko vizuri sana nimeipenda ni moja ya series za Netflix ambayo haina scene yoyote ya Sex. Kuna vipande vichache tu vya kisses.

Nimesoma comment mtandaoni kadhaa wanadai inaweza isiwe na season two. Na kwa namna ilivo season one imekamilika sana.

Hii inaupande hasi sana wa dini waliotumia kuenezea dini.
 
Exactly 💯 series kalii sana hii 🔥 🔥 😎
 
images.jpeg

Huyu demu kwenye American primeval huruma ilimponza kumhurumia yule dogo wa kifaransa, matokeo yake akaishia kuliwa mzigo na muhuni.

Aliye recommend hii series apewe maua yake
 
Ngoja tuone.

Sema wamenikata mzuka sana na zile song zao mara sijui Love is blindness, daaaah. Ni kama wanatuonesha Destination ya series kabla hata series haijachanganya.

Kwamba ni kama mwamba anaenda kuharibu kazi ya ukachero, Ujasusi, Ushushushu kisa K.
Mkuu K ni kila kitu😅😅, tusiichukulie poa kabisa mbususu a.k.a punani ndo chanzo cha sisi kula kwa jasho
 
Back
Top Bottom