Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mie namshauri kwa sasa afatilie Jack Ryan ni series nzuri sana Ina story kalii sanaMkuu hii sio series ya kivita, huku wanazungumzia umafia fulani hivi wakibepari. Kama unapenda bunduki full risasi hii achana nayo