Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mbele ya watoto haileti picha nzuri mkuu.
Nikwambie kitu kiongozi hizo movies za actions na horrors ndio mbaya zaidi kuwaonesha watoto kuliko hayo matusi unayoyakimbia, sijajua watoto wana umri gani lakini kabla hujawaonesha angalia wameruhusu watizamaji wa umri gani, usije kupandikiza roho chafu na za kikatili kwa watoto wako bila kujua kupitia hizo movies.
 
Dah, ahsante kwa kunishtua mkuu naona Dr. Mariposa alitaka kuniuza aisee. 😅
Huyo ameikuza sana ni kipande cha sekunde kadhaa walionesha mwanamke kamkalia mwanaume wapo juu ya kochi yaan ni kamera ilipita tu shwaa na sio kama ipo hivyo, uamuzi ni wako ukose uhondo wa series pendwa duniani au uiche kisa kipande kidogo cha sex 🥳🥳🥳
 
Jack Ryan nishaanza kuitafuna taratibu , iko poa sana namalizia season one sasa.
Naam season kalii sana mie nimempenda yule dada ambae ni rafiki yake Ryan alikuwaga kwenye movie Moja hivi inaitwa limitless unaijua hiyo movie?
 
Karibu sana kaka vipi umemuonaje yule mtoto mchina na harakati za babu yake mspaini yule wanafanya series inakuwa kalii sana
Mtoto hana aibu yule. Anaamka zaga lote limefunikwa na chupi tu mbele ya babu yake...

Ila walio.mchukua kwenye gari kwenye episode 1 nahisi watayatimba. Ndio nataka nianze episode two
 
Mtoto hana aibu yule. Anaamka zaga lote limefunikwa na chupi tu mbele ya babu yake...

Ila walio.mchukua kwenye gari kwenye episode 1 nahisi watayatimba. Ndio nataka nianze episode two
Mtoto mzuri sana yule sema baby yake kavurugwa sana nimependa sana babu anavyo mpenda mjukuu wake aisee Kila likitokea tatizo anafatilia yule babu
 
Aliuliza swali zuri sana
20250107_211322.jpg
 
Back
Top Bottom