Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimehitimisha episodes 16 za wrong side of tracks. Sasa naingia slow horses

Ahsanteni mlio zileta humu
 
Nipo naangalia Gotham. Aisee hata sijui nilikua wapi muda wote.
Nakumbuka mwaka 2020 ndugu yangu alikua anaiangalia day and night nikawa namuona kama anapoteza muda.. Mpaka nimerudi kumshukuru.
 
Screenshot_20250119-200501.png

Back in action
 
Back
Top Bottom