Series (Special thread)

SILO episode ya mwisho kama sijaielewa pale mwishoni, jamaa anakutana Bar na demu.
Okay ndio nimetoka kuicheki episode ya mwisho kwenye silo.

Kile kipande cha mazungumzo ya yule dada ambae ni journalist na congressman kinaelezea flashback ya matukio kabla ya kuundwa kwa silo, lengo ni kuandaa mpango wa kujilinda kutokana tetesi za kuwepo kwa hatari ya bomu la nyuklia (dirty bomb) kutoka Iran.. Na pale mwishoni ndio tunapata kuona one of the earliest relics ambayo tumewahi kuiona ndani ya silo.

Next season nahisi wanajumuisha flashbacks kuinogesha, ila ndo hivyo mpaka 2026.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…