Series (Special thread)

Series (Special thread)

Season ya 3 imeshatoka na kuisha January mwaka huu, sasa hivi tunasubiri Season 4.
Sio kweli imeishia season 2 tu
Screenshot_20250202-134707.jpg
 
Kaka pakua zenye quality kubwa kaka
Mm napenda resolution kubwa ndio huwa naenjoy movie...yan quality ya mwisho kabisa ndio mambo yangu
Chanzo nilichopata ni hiyo 720p chanzo cha 1080 sijapata. Zipo series lazima nizichukue kwa HD kama the Jackal. Na series zote za kuanzia 2015 kurudi nyuma. Hizi za sasa hata hiyo 720p inatosha uki cast kwenye screen yenye quality nzuri ya kuanzia inch 43 kwenda juu.

Mimi natumia 43' naona inanitosha kwa aina ya sebule ninapo ishi. Nikipata sebule kubwa basi 55' itafaa
 
Download hiyo app ndugu yangu, bofya hiyo link nimekuwekea kama unatumia simu ya android then utakuwa na uwezo wa kustream...inaakubali pia kwa watu wenye android TV box au android TV

Hiyo app ni kama Netflix tu, ndani ina movies na series chungu nzima, ni wewe na internet tu

View attachment 3222426
Hii prime target mbona kama inaanza kupushiwa pushiwa kipromosheni zaidi? Ipo vizuri kwa mlio iangalia?
 
Download hiyo app ndugu yangu, bofya hiyo link nimekuwekea kama unatumia simu ya android then utakuwa na uwezo wa kustream...inaakubali pia kwa watu wenye android TV box au android TV

Hiyo app ni kama Netflix tu, ndani ina movies na series chungu nzima, ni wewe na internet tu

View attachment 3222426
Mkuu aise umetisha,kumbe kweli ilishatoka. Nimeanza kuicheki hapa.shukrani.
 
Back
Top Bottom