Series (Special thread)

Kaka pakua zenye quality kubwa kaka
Mm napenda resolution kubwa ndio huwa naenjoy movie...yan quality ya mwisho kabisa ndio mambo yangu
Chanzo nilichopata ni hiyo 720p chanzo cha 1080 sijapata. Zipo series lazima nizichukue kwa HD kama the Jackal. Na series zote za kuanzia 2015 kurudi nyuma. Hizi za sasa hata hiyo 720p inatosha uki cast kwenye screen yenye quality nzuri ya kuanzia inch 43 kwenda juu.

Mimi natumia 43' naona inanitosha kwa aina ya sebule ninapo ishi. Nikipata sebule kubwa basi 55' itafaa
 
Hii prime target mbona kama inaanza kupushiwa pushiwa kipromosheni zaidi? Ipo vizuri kwa mlio iangalia?
 
Mkuu aise umetisha,kumbe kweli ilishatoka. Nimeanza kuicheki hapa.shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…