Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Torrent kule hawakuwekei 360pAisee hapo inabidi atumie torrent tu kaka
Kule hata 720 zao zinakuwa zimechangamka.
Huyu anataka Episode ya dakika 50 iwe na Mb 150
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Torrent kule hawakuwekei 360pAisee hapo inabidi atumie torrent tu kaka
Aliniambia anataka series inaitwa the killing ya mwaka 2011Anatafuta series gani tujaribu kumsakia?
Mwambie aingie hd mp4mania kule zipo low quality kama zote na awafi FM pia ni one clickAliniambia anataka series inaitwa the killing ya mwaka 2011
Nikampa link ya season 1 yenye 720p kutoka uTorrent ina 7.8GB akasema hiyo inachukua MB nyingi.
Nimetafuta chini ya hapo nimekosa.
Kiufupi akwende zake asitusumbue.
Duh au alishindwa kuchagua pale kwenye quality 😃 😃Movie box ipo ila inamzingua kwa madai yake
So alikuwa anataka alternative.
Ni mtumiaji wa hiyo app siku zote sijui leo imefakisha vipi kaona atafute backupDuh au alishindwa kuchagua pale kwenye quality 😃 😃
Achana naye Mkuu asitusumbueMwambie aingie hd mp4mania kule zipo low quality kama zote na awafi FM pia ni one click
Kama 4 GB ANAWEZA Achukue hii hapaAliniambia anataka series inaitwa the killing ya mwaka 2011
Nikampa link ya season 1 yenye 720p kutoka uTorrent ina 7.8GB akasema hiyo inachukua MB nyingi.
Nimetafuta chini ya hapo nimekosa.
Kiufupi akwende zake asitusumbue.
Niliiona nikaipuuzia ila baada ya wewe kusema ndiyo nikaipakua na kuitazama, thank you for the recommendation mkorea.!!Korean Movie: Dirty Money
Itafuteni hii movie inahusiana na Polisi wawili waliokuwa wanafuatilia case ya crime yenye pesa ndefu ambayo imesababisha jamaa mmoja kuuwawa kutokana na kuwa na shida zao binafsi wanajikuta wanavunja Sheria au maadili ya kipolisi nakujikuta wanaingia tamaa za kufuatilia mchongo wa hizo hela ili zikatibu shida zao binafsi bila kujua chimbuko la hizo pesa Nini? Watu gani wapo behind na hatari zinazoweza kuwakuta.
Huwa naidharau, ni nzuri kumbe..??Kama unapenda seriies za ki
Detective 1573 Detective J Detective basi hii high potrntial ipo kwa ajili yako. nimeamini polisi wakiamua kufanya kazi kwa weledi hakuna muhalifu wanaweza shindwa kumkamata. Japo inahitajika vichwa vya kufikiri haraka na kwa usahihi
View attachment 3223538
Niliitazama XO.Kitty ya kwanza, nilivyoona ya Pili imetoka nikaipakua ila bado sijaitazama..Nimemaliza kuangalia Xo Kitty season 2,
Now naangalia i woke up a Vampire
Yaani zote ni ujinga ujinga tu ila nimeamua kuzicheki hivyo hivyo sitaki vitu vizito kichwani kwa sasa narelax
Power Book nilikosa raha baada ya kumuua Ghost, nilikuwa naumia kama vile ni ndugu yangu wa damu, niliendelea endelea kidogo nikashindwa nikaacha, imagine nilikuwa natamani niskie wamemrudisha Ghost ndiyo nirudi tena kuzitazama, obsession..🙌Nimemaliza
Power book 1,2 na 3 nipo power book 4 Force season ya pili hope naona ndo walipoishia kutoa muendelezo.
Nmeanza kudownload Snowfall vp wakuu ni kali nayo?
NB:Hizi power najutia kuchelewa kuangalia ni kigongo haswa hasa hii Force kwangu ni kali ikifatia na Raising Kanan
😂😂😂😂🙌Kwanini hamkuniambia kama One piece ni series ya teenagers?.... naiangalia kufidia bundle langu tu ila utoto mwingi sana humu
Siwez angalia hizoMadogo wanachekacheka tu, action zile za Kikorea watu wanapaa hatari😂, Kuna Dogo mmoja wakuitwa King of pirates akisema Gum Gum anavutika kama big G😇. Kama umeshaangalia show za kibabe kama Power, BMF, Seal team n.k, hii series utakua bored sana
Sio kila mtu ataipenda. Unaweza jaribu episode 2 za mwanzoHuwa naidharau, ni nzuri kumbe..??
Limitless pia Ina series yake ni Kali sana mwanangu 😎😍😂😂😂😂🙌
Vincenzo Jr ulinishauri niitazame watu wanarefusha mikono kama Big G, ahsante..!!
btw, nimeshapakua Limitless ila bado sijaitazama, imagine ndiyo nimepakua na Silo 1, si nitakuta ndugu zangu mpo mwishoni..!
Me nachoomba ni watuonyeshe prequel yao ilikuwaje hadi wakawa drug dealer kama walivyofanya kwa KananPower Book nilikosa raha baada ya kumuua Ghost, nilikuwa naumia kama vile ni ndugu yangu wa damu, niliendelea endelea kidogo nikashindwa nikaacha, imagine nilikuwa natamani niskie wamemrudisha Ghost ndiyo nirudi tena kuzitazama, obsession..[emoji119]
Kila anachopewa kinamzingua basi aachane na hizi ishu za movie,,mara hataki kamoja kamoja kamoja😁..mara movie box inamzingua,kuna jamaa hapo juu kamwambia atumie torrent nayo hataki sasa huyo una uhakika ni mtu wa movie kweli mkuu?!!Movie box ipo ila inamzingua kwa madai yake
So alikuwa anataka alternative.
Ni mtu wa muvi ila anadhani kudownload muvi ni kama kuingia play store na kudownload game lenye 36MBKila anachopewa kinamzingua basi aachane na hizi ishu za movie,,mara hataki kamoja kamoja kamoja😁..mara movie box inamzingua,kuna jamaa hapo juu kamwambia atumie torrent nayo hataki sasa huyo una uhakika ni mtu wa movie kweli mkuu?!!