Series (Special thread)

Anatafuta series gani tujaribu kumsakia?
Aliniambia anataka series inaitwa the killing ya mwaka 2011

Nikampa link ya season 1 yenye 720p kutoka uTorrent ina 7.8GB akasema hiyo inachukua MB nyingi.

Nimetafuta chini ya hapo nimekosa.

Kiufupi akwende zake asitusumbue.
 
Mwambie aingie hd mp4mania kule zipo low quality kama zote na awafi FM pia ni one click
 
Aliniambia anataka series inaitwa the killing ya mwaka 2011

Nikampa link ya season 1 yenye 720p kutoka uTorrent ina 7.8GB akasema hiyo inachukua MB nyingi.

Nimetafuta chini ya hapo nimekosa.

Kiufupi akwende zake asitusumbue.
Kama 4 GB ANAWEZA Achukue hii hapa

Kama anataka kudonoa donoa apite hapa

Kila episode ina 720p na 350MB zipo episode 11 kwa season 1
 
Niliiona nikaipuuzia ila baada ya wewe kusema ndiyo nikaipakua na kuitazama, thank you for the recommendation mkorea.!!
 
Nimemaliza kuangalia Xo Kitty season 2,
Now naangalia i woke up a Vampire
Yaani zote ni ujinga ujinga tu ila nimeamua kuzicheki hivyo hivyo sitaki vitu vizito kichwani kwa sasa narelax
Niliitazama XO.Kitty ya kwanza, nilivyoona ya Pili imetoka nikaipakua ila bado sijaitazama..
kumbe ni ujinga ujinga tu.?😂
 
Power Book nilikosa raha baada ya kumuua Ghost, nilikuwa naumia kama vile ni ndugu yangu wa damu, niliendelea endelea kidogo nikashindwa nikaacha, imagine nilikuwa natamani niskie wamemrudisha Ghost ndiyo nirudi tena kuzitazama, obsession..🙌
 
Kwanini hamkuniambia kama One piece ni series ya teenagers?.... naiangalia kufidia bundle langu tu ila utoto mwingi sana humu
😂😂😂😂🙌
Vincenzo Jr ulinishauri niitazame watu wanarefusha mikono kama Big G, ahsante..!!

btw, nimeshapakua Limitless ila bado sijaitazama, imagine ndiyo nimepakua na Silo 1, si nitakuta ndugu zangu mpo mwishoni..!
 
Power Book nilikosa raha baada ya kumuua Ghost, nilikuwa naumia kama vile ni ndugu yangu wa damu, niliendelea endelea kidogo nikashindwa nikaacha, imagine nilikuwa natamani niskie wamemrudisha Ghost ndiyo nirudi tena kuzitazama, obsession..[emoji119]
Me nachoomba ni watuonyeshe prequel yao ilikuwaje hadi wakawa drug dealer kama walivyofanya kwa Kanan
 
Movie box ipo ila inamzingua kwa madai yake

So alikuwa anataka alternative.
Kila anachopewa kinamzingua basi aachane na hizi ishu za movie,,mara hataki kamoja kamoja kamoja😁..mara movie box inamzingua,kuna jamaa hapo juu kamwambia atumie torrent nayo hataki sasa huyo una uhakika ni mtu wa movie kweli mkuu?!!
 
Ni mtu wa muvi ila anadhani kudownload muvi ni kama kuingia play store na kudownload game lenye 36MB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…