Series (Special thread)

Kwa ambaye hana cha kuangalia weekend na alipitiwa na series kali anaweza akaanza na BANSHEE kumalizia weekend bongo moja la series utakuja kunishukuru🩸🩸🩸
Ina sesons ngapi mpaka sasa
 
Kila anachopewa kinamzingua basi aachane na hizi ishu za movie,,mara hataki kamoja kamoja kamoja😁..mara movie box inamzingua,kuna jamaa hapo juu kamwambia atumie torrent nayo hataki sasa huyo una uhakika ni mtu wa movie kweli mkuu?!!
Ndio maana nikaamua nimpotezee naona ananichanganya hata mimi.
 
Banshee hujaiona? ile ya yule mzembe ambaye ana bastola kiunoni halafu wavuta bangi wamemuweka mtu kati. Wanamletea fujo wakiwa na mapikipiki unarmed na yeye hachukui action yeyote hata kupiga risasi juu.
Niliona nikiwa chuo huko si ya yuke jamaa anapiga miti sana? Mr sheriff? Na jee inatofautiana na banshee town au ni moja? Ndo nauliza ina seasons ngapi?
 
Uyu mdada sikumkubali ujeuri wake alafu sasa kwenye Power book 4 yupo pia na kacheza kama kwenye Banshee, anatamaa kinoma
 
Muvi Za C.I.A

  • Three Days of the Condor
  • The Bourne Ultimatum
  • The Good Shepherd
  • The 355
  • The Bourne Supremacy
  • Spy Game
  • The Sum of All Fears
  • Spies Like Us
  • The Recruit
  • Company Business
  • Möbius
  • Tenet
  • This Means War
  • Jack Ryan: Shadow Recruit
  • Argo
Ngoja nichukue kwanza hiyo the sum of all fears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…