Series (Special thread)

Hii mie niliitazama Toka 2012 huko πŸ˜ƒ
Pole mkongwe. Mimi ndio natambaa nayo saa hii.
Nipo season 1 episode ya 2, chuma imenyooka, Sci-Fi, Intelligence, actions πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.
Haya madude ya kitambo ni yamoto sana, pia yana episode za kutosha, hayana wizi kama tunaofanyiwa siku hizi, eti season 1 episode 6 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Siku hizi tunaibiwa sana.
 
Wadau wangu wa nguvu nataka zaga lenye brutal killings yani brutality ya kutosha mpaka moyo uniume. Kazi kzi bila huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…