Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hizi hapa ila tumia uttorent


Hii hapa unatumia tumia kawaida bila torrent
Samahani kwa usumbufu mkuu
Kuna sehemu imeandikwa download subtitle...
Ndo hapo napakukia au hapo ni subtitle tu
 
Kumbe dexter original sin ni kali hivi
Mimi nimechukua hii yenye season 1-8 nimeanza na season 1 halafu ndo nitakuja kwenye hiyo original sin
Screenshot_20250220-162309.png
 
mshamba_hachekwi, Franky Samuel, Greatest Of All Time Leo nime kaa Nika waza kwanini Jesse haku wahi

Mkuu kwenye hivi vitu tunatofautiana taste, mimi ukinipa show kama
Twisted metal
Euphoria
One piece
Elite
Na zingine zenye u-teenager ndani yake nitakua na-skip mwanzo mwisho, naweza kuangalia season mzima kwa dk 3 kisha nikaifuta kabisa.

Lakini kwa show kama
Landman
Gentlemen
Agency
Billions
Black Mafia Family
The Rookie
Power zote
Peaky Blinders
The Last ship n.k
Hizi ni show ambazo tunaweza kuzirudia hata mara 100.
Hivi kati ya better call Saul na peaky blinders ipi ni nzuri zaidi hapo.
 
Kabisa zamani tulikuwa tunapewa EP 20 za moto mfano mzuri ni fringe
Yaaah!
Fringe mzigo safi sana, japo mimi binafsi series za "hekaheka" ambazo lead character anakuwa mwanamke huwaga zinanishinda kuzifuatilia.
Kama hii Fringe nimemaliza season 1 kwa mbinde sana.
 
Back
Top Bottom