Series (Special thread)

Series (Special thread)

GfQegChasAEhH0n.jpg
 
Nataka nianze kujifudunga BAND OF BROTHERS, ole wako nikute madudu Vincenzo Jr lawama zote utazibeba kwa kukataa kunishauri series kali ya kuangalia.
Ni series kalii sana mkuu na Kuna battle of Bastogne humo ndani utaipenda sana EP ya kwanza ni wanakula mazoezi kazi Ina anza EP ya pili hakuna kupoa kaka humo
 
Nataka nianze kujifudunga BAND OF BROTHERS, ole wako nikute madudu Vincenzo Jr lawama zote utazibeba kwa kukataa kunishauri series kali ya kuangalia.
Ni documentary series nzuri. Ila sio katika zile series zinazokufanya utake kuimaliza ndani ya siku 1 au 2.
Kwangu mimi ilinichukua muda kidogo kuimaliza. Ila ni worth watching series kama hukuwahi kuangalia.
 
Back
Top Bottom