Series (Special thread)

Ichekini hii serious Kali sana ni ya kirussi
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q
 
Kwenye kuisaka unaandika MEPTB HA?
 
Mimi mwenyewe naitafuta kila movie site nazojua sioni😁😁😁
Ukibahatika kuipata hiyo series utaenjoy sana huyu jamaa criminal anajiita snake humo ndani katisha vibaya ni zaidi ya Jackal Kwanza lina akili, pili kukinukisha yeye ni dk zero mpaka niliwaonea huruma police kawafanya vibaya sana, ana roho mbaya mno hajui kucheka na kima
Mr Q
Vincenzo Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…