Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ichekini hii serious Kali sana ni ya kirussiView attachment 3264416
Inahusiana na jamaa moja ambaye ni criminal ambaye ameshakinukisha kwenye makundi ya kigaidi na vile vile anatafutwa na polisi so mara nyingi kukwepa kukamatwa au kujulikana huwa anaamua kujibadilisha sura kwa kufanya surgery Sasa akaamua kuchukua sura ya mfanyabiashara fulani ambaye Hana Mambo ya kiharifu kabisa, huyo mfanyabiashara anajikuta anaingia kwenye balaa zito kwa sababu ya yule criminal kuchukua sura yake na kufanya matukio ya kiharifu. Yaani hii series inahamshahamsha mwanzo mwisho ni Kali sana
Vincenzo Jr
Mr Q
Kwa hiyo link ya hii ndo haijapatikana mpaka leo?
 
Back
Top Bottom