Series (Special thread)

Kitu kitu kingine hiki hapa
No Escape kuna boti moja inaitwa Blue ilipatikana australia ikiwa na michirizi ya damu alama za risasi ila hakuna maiti hata moja, ikitokea ufilipino ambapo kulikuwa na watu saba ila aliyebaki ni mmoja hivyo series inaelezea nini kilitokea mpaka akabaki mtu mmoja akielezea akiwa anahojiwa na maaskari.

 
The stranger chapter 1
Kuna jamaa mmoja alikuwa na mchumba wake wanaenda vaccation ila kabla hawajafika wanapoenda gari likaharibika wakaenda kwa fundi akawambia vifaa kwa sasa hana ila kesho asubuhi atavifata hivyo wasubiri, wakaenda kuchukua Airbnb ila huku wakatokea jamaa wakavamia nyumba wanataka kuwaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…